Application Mpya kwa ajili ya ipad

HOMAGE ni application mpya kwa ajili ya arts-Collectors, wanahistoria, wanafunzi, wapiga picha au kwa ajili ya mtu yeyote ambaye anataka kuangalia kwa ukaribu kwa kazi nzuri za Alexia Sinclair. Hii App imelezwa vizuri kuwa imegubikwa na mipangilio mingi ya vitabu na zenye picha zuri zenye viwango vya High Resolution ambayo inamruhusu mtumiaji kuvumbua kila kazi za michoro “artwork” kwa utakatifu wa undani zaidi.

Sambamba na nakuwa na mivuto mikali ya picha , unaweza kusoma kuhusu alama zilizo tumika katika kila kazi ambazo unaweza kunasa umbea wote unaweza kukuongezea hamasa ya kimapenzi ambazo zinabadilisha mambo katika kuanza mambo makuu 24

kwa wale ambao wanatarajia kufanya kila linalo wezekana kutengeneza michoro ya kila aina, Homage ya Ipad imeweka video 6 kwa ajili ya behind scenes , na kabla ya kutengeza sketches na diagrams za juu juu. Inasaidia wanafunzi na wapiga picha kupenda kufikiria kiundani na kwa upana zaidi nakujua ni jinsi gani Sinclair anavyoonekana kuwa ni zaidi ya kusherehekea.

application hii inauzwa dola $4.99, ambayo ni sawa sawa na sh 8000 za kitanzania, application hii ipo katika kundi la vitabu ndani ya ipad, na imeachiliwa may 1 mwaka huu

iPad Screenshots

HOMAGE kwenye iPad Screenshots

Source:Apple