Nini kinakufanya wewe kuwa kiongozi wa mabavu? maarifa? utajiri? nanguvu ya kufanya chochote na kuharibu chochote kitakachopita njia yako?? kutoka kwenye hizo sifa ni zamuhimu kwa vyuma, ila sifa kubwa yakuwa dikiteta mzuri na kuji promoti mwenyewe. na kujiweka vizuri, nakujizamisha kwenye beseni la spotlight,  hiyo ndio sababu nzuri General Aladeen katika ukuu wa uongozi leo

kwenye exclusive hii mpya kutoka Sacha Baron Cohen,s The Dictator, Aladeen akionyesha kipaji chake kwenye kamera. ni kweli Megan Fox kabambwa?? kutoka Rumor mill. Tabloids. Front page gold. kiukweli mtu yeyote na jua jinsi dunia ilivyo siku hizi, unamuondoa Barack Obama.

The Dictators inatukuwa kwenye cinema “Theaters ” May 16 na ma star wengine ni Anna Faris, John C. Reilly and Ben Kingsley,  ambaye alijaribu kushindana Meja Jenerali Aladeen , na hizi ndio picha zake chini, ambacho ni kweli, nijinsi gani wanaweza kushindana

Image

Image

 

Image

Image

Image

 

 

 

source:Hollywood