Van Persie akiwa ameshikilia Tuzo ya uchezaji bora katika- Grosvenor House Hotel

Van akiwaameshilia tuzo yake ya Mchezaji bora wa Uingereza

Ni kijana mwenye hasili ya kiholanzi , mwenyeumri wa miaka 28 , ambaye alifurahia mafanikio ya kombe la dunia mwaka 2010, ambaye alienda kwa kipindi kirefu mno mwaka 2011. alikuwa anaongoza kwa magoal kutokea january 1 mpaka mwisho wa msimu, wana mfananisha na mchezaji wa Arsernal mwenye asili ya kiholazi pia Denis Bergkamp kwa umahiri alionyesha kipini akiwa arsernal akiwa na umri miaka 28 kama wa Van Persie, kutokana na mafanikio mengi kijana Van Persie amefanikiwa kuwa Mwanasoka bora wa ligi kuu ya uingereza kutoka kwa mashabiki wengi wa ligi hiyo wanasema nikweli Van Persie anstahili tuzo hiyo.