BBA7

BBA7 “The Game Stars”

Washiriki kuanza safari yao ya siku 91 , mitazamo, urafiki, na hiia zao kuwekwa kwenye majiribio. BigBrother ya mwaka huu imepewa jina la “THE STARGAME” ambayo inaonyeshwa leo kwenye DSTV channel 198. Mashabiki wapo kwenye mazingira ya kuwajua washiriki wa bigbrother mwaka huu kutoka nchi 14, hata hivyo mshindi atapatikana.

na mtangaza ni
Ikponmwosa Osakioduwa:
ni kijana mwenye umri wa miaka 32 ambaye huwezi kukata kuwa ni ana uwezo wa kuongea na ni muongeaji mzuri katika mazungumzo, wananigeria wanamwita “IK”. Washabiki wa BBA walishawahi kukutanane kwenye BB4 2009, alipo mnyang’anya utangazaji huo wa BBA Kabelo Ngakane aliyekuwa anatangaza BBA4. Sasa ndio Mtangazaji Rasmi wa BBA. Nguvu zake, maarifa na mwenye ustaharabu wa hali ya juu, kuwa amekubalika Africa nzima kutoka kwa Maproduza wa BBA , washabiki na washiriki wa BBA

Nimchangafu, anaweza kujieleza na hana makuu, IK anarudi tena kwa mara ya nne kutikisa THE STARGAME. ” Siwezi kushanga amefikia mbali na kazi yake kwasababu na kumbuka nilikuwa na sikiliza programu yake kwenye Radio na niamini mimi, ni mzuri” alisema Jennifer Akpan, Meneja masoko wa First Generation Bank.

Alichukuwa masomo ye Economics kati chuo kikuu cha Lagos, Nigeria, alianza kazi yake rasmi kwenye Television show, kinachoitwa “CUMPUS CIRCUIT” ambacho kilikuwa kina rushwa na African Independent television (AIT). baada ya kumaliza chuo 2001, alianza kufanya kazi Silverbird’s Rhytm 93.7 fm kama mtangazaji na alikuwa anajulikana kama “The Wild Child” iliyompelekea kuwaoneka anamtazamo wakibusara

kama mtangazaji ameweza kutingisha vipindi vingi na programu nyingi kama M-NET’s Studio 53, Comedy Live Lagos na mwandishi wa habari mzuri. Ameshinda Tuzo nyingi za utangazaji, Yupo Juu kwa kazai yake

WANAMUZIKI WANAOTUMBWIZA LEO:
Jermaine Lamar Cole:
Kijana mwenye kipaji, aliye na msimamo na mbunifu amaye alisha wahi kuteuliwa kwenye tuzo za Grammy , kama rapa, anajulikana kwa jina Maarufu “J Cole”. amezaliwa januari 28, 1985 amabaye ameanza kupenda muziki umri mdogo ambao alijifunza mengi kwa kutambua na kuendeleza. Na ni mmoja wa marapa waliosahinishwa kwenye Roc Nation record lebal inayo milikiwa na Jay-z. iliyopo New York, akiwa anatamba na album yake “The Sideline Story” ambayo imesaidia sana kuwa vutia watu wengi duniani

Amesha fanya colabo na mastaa wengine kama Beyonce, Miss Elliot, Trey Songz, Drake na wengine wengi. Yeye ndio sababu kubwa ya kufanya Stargame kuchaguliwa jina hilo mwaka huu, nandio mara yake ya kwanza kuperform Africa.

Naeto C:
Naetochukwu Chikwe,amezaliwa Huston, Texas desemba 17, 1982, ameshachukuwa tuzo nyingi za rapa, ni msani wa afrobeat na record produza, ambaye amajizoolea soko lake mwenyewe, naye anaperform leo.

Cabo Snoop:
Hata hivyo ni alikuwa mgeni kwenye BBA Amplified, amekaribishwa tena kuperform na wasani wengine. amezaliwaAngola Novemba 1, 1990. alikuwa hatambuliki mtu yeyote maana mama yake alipoteza watoto watatu, na hakuna aliyejua kama atakufa au atapona. Sasa amapata jina lake kutoka kwenye record label yake, Power House na kuhiti na traki yake ya “Windek”

Camp Mulla:
Kundi la wanaHipHop wa kenya wanaperform pia kwenye BBA7. hata kuwa mara ya kwanza kwa wao kukutana na stejini, na wanamuziki kama P Square, Naeto C na Flavour. Na sasa ni group linalo kuja Juu kwa nguvu mno Nchini Kenya.

Aemo’ E Face:
Ni msania wa SA ambaye ameweka kazi yake malawi ni mwimbaji wa POP, rapa na mjasiriamali, amezaliwa mwaka 1987, Ni Amos Mazinyane alitoka kimuziki katia umri wa miaka 6 akiwa baba yake alimlazimisha kwenda kwaya.

wana mziki wengine ni kama
Davido:

Sam Phiri:
source: BBAfrica