Jina la mtoto huyu ni William Stokkebroe. ana umri wa miaka miwili tu , ambaye aliwaona wazazi wake wakicheza, ambao ni Kristina na Peter Stokkebroe kwenye show ya Studie43 wakiwa wanafanya mazoezi. Dogo naye akaamua kuonyesha kile alicho jifunza kutoka kwa wazazi wake katika Galla Opening marchi 2 , 2012. hatuweza kuwa na haki ya kumiliki Music Jailhouse Rock inapochezwa.