kama kweli we ni mpenzi wa Rally hakika utamjua “Legend Ken Block” ambeye ni noma katika uendeshaji wa magari ya rallying na nimahiri kwa kufanya promo ya magari ya aina Subaru na Ford Sports cars. Katika video hii inaonyesha jinsi Ken Blocks anakutana na James May ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha Top Gear kinachorushwa na BBC. James alikutana na Ken Block kwenye uwanja wa ndege ulipo Califonia , Marekani ambapo alikuja Kuangalia Maarifa aliyo nayo Ken Kati urndeshaji wa magari, kabla haja maliza kuonyesha manjonjo yake , akatokea ghafla Mkali wa kuendesha piki piki ambeye ni “DIRT BIKING CHAMPION” Ricky Carlmichael, na kuanza kuonyeshana maskillz ya kuteleza subaru na pikipiki, jione mwenyewe