julio

Julio, Huyu ndiye anayewa kilisha Tanzania kwenye BBA7 na mwenzie Hilda

Julio anatokea jiji Dar es Salaam na anafanyakazi makao makuu ya VAS, kampuni ya kuuza vifaa vya Electronics ambayo vinatumika kwenye makampuni ya simu. Anadegree mbili ambaza ni Bcomm in Finance na MBA . Anaonekana amaetulia kwenye jumba la BBA.  Ameingia kwenye show kwasababu ya rafiki yake wakaribu Hilda na ndio walikuwa mfano mzuri kwa walioteuliwa kwenda.  Anajiamini na kujiona amakamilika

Alisema kuwa mshiriki mwenza Hilda kuwa ni ” halisi na nimuwazi kwa kile anachokitaka” alisema Julio na ndio maana anampa amani akiwa karibu yake. Alisema wanaume wanampenda Hilda , naaliongezea kusema ” yeye ni smart na kuvutiwa sana nacho jua, hakika waafrika watampenda sana” alisema Julio. Yeye alikuwa mshabiki mkubwa wa Kevin ambaye alikuwa mshindi wa BBA5. Hata hivyo alisema ” mwisho wa siku, hakuna chochote alicho kileta kwenye Jumba”

Julio alijieleze kuwa yeye ni Mcheshi, smart, mtundu, anahila na nimfurahishaji mzuri.

 

Huyu ndio Hilda Mshiriki wa BBA mwaka huu

Huyu ndio Hilda Mshiriki wa BBA mwaka huu

Hilda ametoke mjini Morogoro na nimfanyabiasha. Ana mtoto mmoja wakiume na anapenda kusoma vitabu vya stori vifuatavyo Sydney Sheldon na the book Memoirs of a Geisha.  Hilda alivutiwa kuingia BBA “Stargame” na Biggie mwenyewe. alisema kuwa anaonekana anachangamoto na ninadhani itakuwa raha sana kuungananae na kumpa changamoto mpya, siwezi subiria kwa hilo” alisema Hilda. amefurahi mtindo mpya wa BBA ya mwaka huu kuwa na Partner wako ndani ya mjengo,  inaonekana itakuwa na vituko vingi.  aliongea kuhusu rafiki yake Julio. ” Ni mchangamfu, busara na nimskilizaji mzuri, kiukweli” alisema Hilda

Alisema kuwa atafanya juu chini ili aweze kushinda , alisema atatumia kila njia za uongo na zavishawishi kwakila hali, na kujifanya ” Nitakuwa mtu mzuri kupiata kiasi” alisema hivyo. Alisema kuwa Africa wataongea sana kuhusu yeye akiwa mjengoni ambacho kina mfanya awe nahamasa kubwa, Alisema kama atashinda, atatoa msaada atakapo rudi nyumbani .

Source:BigBrother Africa