Teclar na Seydou

Seydou akiwa anambembeleza Taclair bada yeye kudondosha kilio ghafla baada ya kuchaguliwa

Drama ilianza pale walipokuwa wanakula chakula cha usiku kwenye DownVille Diner ambapo washiriki wa Zimbambwe ambao wote ni wadada (Maneta na Teclar) walianza kudondosha kilio baada ya kuteuliwa kutolewewa.

Wazimbabwe hawa walichaguliwa kwa kutumia “Random Nomination Mechanism” ambayo ilianzisha na BigBrother wakati wakiwa wanaifungua Live, Ndugu zetu watanzania nao walikubwa katika Nomination hiyo yakutolewa pia na kutimiza watu wanne.

Teclar alilia kwasababu alikuwa na kazi na nijinsi gani aliamua kujitoa kafara na kuiacha kazi yake wakati Maneta amefikiria kuwa haikuwa ya haki.

Washiriki walijaribu kulalamikia kuhusu uteule huo wandugu lakini hakukuwa na lolote liwezakano zaidi ya Seydous kumsaidia kumtuliza Maneta.

Washiriki walijaribu kujaribu kubadilisha majozi , kwa kuwa kujitia moyo na kula bana .

Wapigie kura Hilda na Julio ndani ya shindano, kwa kubonyeza hii link  click here

 

Source: <a href=”http://bigbrotherafrica.com/zim-sisters-break-down/ “>BigBrother Africa </a>