Carles Puyol

Carles Puyol

Mchezaji wa Barcelona na Benki wa kimataifa Carles Puyol anaweza asicheze kombe la ulaya mwaka huu “Euro 2012” baada yakuambiwa anahitajika kufanyiwa upasuaji wa goti

Mwanasoka huyo mwenye umri wa miaka 34 alikuwa benchi kwa miezi mitatu kwasababu ya matatizo ya goti, kwa sasa anatarajia kuwa nje kwa wiki 6.
“Matibabu na vipimo vilipitishwa na kuamuliwa kuwa atafanyiwa upasuaji ambao utafanywa Mei 12,” ilisema club.

Mechi ya kwanza ya Spanish kwenye kombe la ulaya watakutana na Italia ambayo itachezwa Juni 10

Puyol alikuwa anapata maumivu makali ya goti kwenye mechi iliyochezwa jumamosi kwenye kigi ya la liga ambayo walikuwa wanacheza na Espanyol.
Ni beck mwenye nguvu na kuaminika nauwepo wake kwenye Uhispania, umemtengenezea sura 99 kati World na Europe Champions, na aliweza kufunga goli katika nusu fainali za kombe la dunia baada ya kuifungia Uispania goli 1 na kuwatoa Wajerumani

source:BBC News