Justin Beiber akiwa na Maywether baada ya kushinda mpambano

Justin Beiber akiwa na Maywether baada ya kushinda mpambano

Justin Bieber kuonekana jana usiku akiwa na loyd Mayweather, jana usiku ulikuwa ni mwezi wakutengeneza, mtu wa karibu wa Biebs aliwa ambia TMZ, Kuwa justin anamfeel mno Mshauri wake mpya , na Ni kweli “ilahawaeleweki.”

Kutokana na sources za TMZ inasemekana Mayweather alimuomba Justin miezi minne iliyopita kuungananae kwenye mpambano Mayweather na Miguel Cotto kwenye jiji la Las Vegas, na Bieber ni mshabiki mkubwa wa ngumi, na alirukia kwenye hiyo furusa.
kutoka TMZ walisema kuwa waliambiwa kuwa Floyd na Justin walikuja kuwa marafiki baada ya Floyd kuona Movie ya “Never Say Never” ambayo ilimfikia kwenye kambi yake. kutokana Source za TMZ Floyd aliamua kuwa mshauri wa Justin and Masela hao wakaamu kuanzisha urafiki wao.

TMZ source wanasema Mayweather alijaribu kuingiza utaratibu wakazi yake kwa Justin, kiukweli alikuwa anamwambia angeweza kutengeneza mafanikio makubwa kama atajituma kama Floyd

TMZ waliambiwa kuwa masela hao wanatofautiana na Justin naye anawambia watu kuwa anafikiri Floyd, kuwa ameelewa vibaya na ndio maana anafanya kazi kwabidi na kutungua watu

Baadhi ya majaji walikuwa hawajakubali ushindiwa wa Flyod lakini ndio hivyo

Sources:TMZ