MALONZA NA JUNIA

Malonza na Junia wakiwa wamelala kitandani Mwa Malonza

Hatuna uhakika kuwa kama nikweli wako kimapenzi, lakini tunahisi kuna uwezekano wakuwa wapenzi!! labda wameahidiana kuwa wapenzi? lakini inaonekana kuwa Malonza na Junia wapo pamoja mno. baada tu yakupewa maelezo mafupi ya hockey kwenye garden jana usiku, wa wili hao walikuwa wamejiachia kitandani mwa Malonza, jioni ya leo wanataka kujuana kiundani vizuri , Malonza alikuwa wa kwanza kusema anataka kumjua vizuri na kumuelewa Julia lakini amemshawishi Mnamibia huyo kucheza mchezo mchafu “Plays Dirty”

Junia kwa upande wake anaona vizuri kuwa mahusiano yake na Malonza yatakuwa nje ya Mjengoni au La. Baada ya MALONZA Kujitangaza kuwa ni mpweke “lone Ranger” na hana mwenza kwenye mahusiano, Vile vile Junia alifanya hivyo, nakusema yeye pia ni single. Alishindwa kujizui ikabidi atoa alicho nacho kuwa alikuwa anatoka na jamaa Mwenye wivu kinoma, kabla hajaingia mjengoni. Wawili hao wanaonekana wana shabihiana kwa maongezi ya mda mrefu walio kuwa wanaongea kuhusu familia zao. Cha kushangaza katika maongezi hayo Malonza hakumtaja Kaka yake. Bahati mbaya au nzuri Alex mwenye alikuwa amempandishia vio Junia. Hamuoni kuwa na mahusiano rasmi ya kwanza ndani ya Big Brother Stargame?

Kama hawa watendeleana kuchezeana huu mchezo , inawezekana ikawa kweli mapeema, Kwa Upande wapili Junia anaoneka na maarufu sana na wanaume walio Downville, kwa hiyo kaupepo kako hewani kwa sasa