Walikuwa wameificha Viber tangu mwanzoni, baada ya kufungua android app na nyongeza nyingine za picture na sehemu na uwezo wa kushare, kwa kuwa kuna muda kampuni ilitanganza kuna watumiaji milioni 50, na milioni 150 za kupiga simu, na bilioni moja za kutuma text, kwa mwezi. Ukweli kuwa hizo hatua zimetolewa wiki mbili zilizopita za mwezi wa pili. hata hivyo mafanikio ya amesha semwa leo.

Kuanzia Mwezi 2 mpaka sasa , App ya Viber imeweza kutoka milioni 50 ya watumiaji mpaka milioni 70 ya watumiaji, ambayo imetokea kuongea zaidi ya dakika bilioni na kutuma text “SMS” zaidi ya bilioni moja kwa mwezi. kila siku idadi hutafsiriwa kwa miito ya milioni 7 na SMS milioni 40, ndani ya sehemu inayo share na kutumia asilimia 10 ya mda.

Kwa ukuwaji huu nisawa na uhamiaji wa platforms tu “majukwa” inaonshe umakini, ndio maana kampuni iliamua kutangaza matoleo mampya Viber ambayo ni maarufu VoIP/messaging app kwa black berry na simu za windows. Viber beta app itazunduliwa hivi karibuni kwenye platforms.

Viber kwa Blackberry na simu za Windows 7 beta zitatoka na viber message ambazo zitaruhusu watu kushare picha, sms, na sehemu waliopo watumiaji wengine wa Viber. Hainacha friend requesting, nikwamba kama wapo kwenye Viber watakujua na watakuruhusu kuwa tumia messeji.

Endapo Viber beta App itafanya vizuri kwenye uwezo wa kutuma meseji , ikikubali watatoa toleo lote la Viber app nakuongezea (voice call) kwa plstforms zote.
Imetokea Robin kupigilia msumari kwa matarajio yanayokuja ” nahisi uelimikaji wangu utakuwa mzuri nisipo poteza mda” alisema Robin

viber

jinsi viber ilivyo


Source:TechCrunch