Kwenye intaneti sio mahali kwamba sheria isifuatwe, Mwanasheria mkuu wa serikali ya uingereza amewaonya watumiaji wa twitter, na alisema hatasita kuchukua uamuzi wote juu ya meseji (post) mbaya.
Mwanaseheria mkuu huyo Bwana Dominic Grieve, ambaye ni mshauri wa serikali ya uingereza na Wales, aliongea hayo

A student who mocked English Premier League footballer Fabrice Muamba, pictured here on May 2, on Twitter after he collapsed on the pitch with a heart attack in March was jailed for 56 days after admitting a racially aggravated public order offence.

kufuatia na matukio ya kesi katika mahakama kuu, ambazo kesi hizo zimetokea kwenye mtandao wa twitter (micro-blogging site.) kwa kuposti meseji mbaya, na zinazokera watu..
” kama mtu anaweza kwenda kwenye pub na karatasi zilizochapishwa na kukabidhi nje, hiyo haina tofaut sana kama mtu anayeenda na kufanya tweet,” Grieve aliiambia BBC radio hivyo.
” Kuwa na wazo kuwa unakinga kwasababu wewe hujulikani kwenye twitter ni makosa makubwa .
” sitaki kuchukua hatua lakini nadhani ni muhimu kusuia uhalifu, kama vile unyanyasaji wa rangi kuchochewa, kwa hilo sitasita kufanya hivyo.”
Mwanafunzi aliye mdhihaki mchezaji wa ligi kuu ya uingereza Fabrice Muamba kwenye Twitter baada ya kuanguka uwanjani kwasababu ya matatizo ya moyo “heart attack” mwezi watu, alifungwa siku 56 baada ya kukubalikuwa alichochea unyanyasaji wa rangi kwenye jamii
Baadhi ya watu 17 wameshakamatwa kwa kuhusika kutaja jina la mwanamke aliyebakwa kwenye Twiter mwezi uliopita na mchezaji Ched Evans.
Ndani ya mwezi watatu Mchezaji wazamani wa Cricket Chris Cairns wa nchi ya New Zealand alishinda dhidi ya kashifa na aliyekuwa mwenyeketi wa Ligi Kuu ya india bwana Lalit Modi katika hatua ya kwanza kusikia uingereza kupinga posti kwenye Twitter
Jaji David Bean alikanusha madaiya upangaji wa mechi ya nayomuhusu mchezaji huyo wa cricket na kumuacha modi akikabiliwa na hatia ya zaidi ya paundi £ 500,000 ($ 800,000

Grieve alisema serikali hakuwa na haja ya kuunda sheria mpya kama sheria zilizopo zinafanya kinyume na sheria kwa Kudhikahi vibaya au kuleta shida