Rapper 50 Cent mwenye umri sawa na Afande Sele (Miaka 36) amelazwa hospitali huko Marekani ambapo mshkaji wake wa karibu Dj Drama amesema jamaa anasumbuliwa na tumbo “stomach virus” na sio ishu kubwa sana, bado mipango mingine iko palepale ikiwemo tarehe atakayoiachia mixtape yake mpya ya “The Lost Tape” May 22.

50 Cent


50 Cent


50 Cent

Source:MILLARD AYO