Davies

Bolton strika Kevin Davies amesaini mkataba wa mwaka moja kuendelea kuichezea Club hiyo, lakini Wanderers imeshuka daraja kwenye ligi Barclay Premier ya uingizeza, ilihisi wachezaji 12 wataondoka kwenye zao.
Mkataba wa Davies wasasa unisha mwaka huu lakini amekubali kubakia na Beki Sam Ricketts pia amekubali kuongeza miaka miwili .
Kiungo Nigel Reo-Coke yupo huru kwenda timu yoyote sasa baada ya mkataba wake kuishia, pamoja na wachezaji 11 wako huru baada ya mikataba yao kuisha.
Ambao ni Gretar Steinsson, Paul Robinson, Sean Davis, Robbie Blake, Ricardo Gardner, Ivan Klasnic, Mark Connolly, Tope Obadeyi, Rhys Bennett, Dino Fazlic na Tom Eckersleyndio ambao wameondoka, wakatiTuncay Sanli, Dedryck Boyata and Ryo Miyaichi kurudi kwenye club zao walizo chukuyliwa kwa mkopo.
Katika taarifa ya Bolton waliosema kwenye majadiliano wataendelea kuwa na kipa JussiJaaskelainen, nakuchuku namba moja ya Adam Bogdan, na Zat Knight juu ya mikataba yao.
“Nilikuwa wazi kwa Nigel Nilimuliza moja kwa moja kama alitaka kubakia au tutakuwa pamoja na tukachoenda nacho kwenye msimu ujao” alisema Coyle
“Alikuwa ni mkweli na muwazi kwetu, kwa sababu ndivyo mtu unatakiwa kuwa , naalisema kwamba alitaka kutumia kifungu katika mkataba wake, na hata hivyo tuna mtaki kila la heri.”
“Napenda pia kuwashukuru wachezaji wote kwa kuichezea Bolton ambao wanaondoka, tunawataki kila la Heri ..
“Mmoja wao ni Ricardo Gardner, ambaye amekuwa kwa klabu hiyo kwa miaka 14.
“Yeye ametoa mchango mkubwa wa ajabu kwa Bolton na ningependa kutoa shukuru zangu binafsi kwa juhudi zake zote kwa klabu, hasa wakati wa muda Niliofanya kazi pamoja naye.”

Source:Football.co.uk