KILI winner tour concert ambayo ilifanyika Jumamosi tarehe 2 june ambayo ili wahusisha wanamuziki wote walio shinda kili award kwa mwaka huu. Ambao baada ya kushinda awards hizo walipewa tour ya kufanya katika kila mikoa nchini. Wasani wakubwa walio perform walikuwa ni Ally kiba, AT, Barnaba, Ben Pol, diamond, ommy dimpoz, queen Darling, Isha Mashauzi, Suma lee, The Wailers kutoka arusha Roma , na vipaji vilivyombuliwa na Kili winner tour katika mikoa tofauti waliopitia wakati waziara hizo za kuperform. Ambapo Msani Roma ndiye aliyefunga na ambaye alikuwa na anashangiliwa sana kwa kubalika kwa kazi zake, baada yakuto ujumbe na mashairi mazuri ambayo yalikuwa ya nagusa hisia za wananchi, ambayo yanayoongelea hali halisi ya nchi ilivyo na maisha ya wananchi. Na Show ya KTMA Winners Tour ikaishia hapa kwa msanii Roma kufunga show kwa mwaka huu 2012

ommy dimpoz &Diamond plantinum

watu walio hudhuria kwenye kili award tour concert kwenye viwanja vya posta , Kijitonyama

Isha Mashauzi aka Jike la Simba kwa steji

Malkia wa Taarabu Khadija Kopa kwa steji

Ommy Dimpozi kwa steji

Queen Darling kwa steji

AT msanii kutoka ZNZ akilitawala steji

Ben Pol kwa steji

Suma Lee kwa steji…

Barnaba aka Baba Steve akiwa kwa steji

Ally Kiba kwa steji

Diamond kwa steji

Roma akiwa anaperform

Roma akiwa anaperform

Roma akiwa anaperform