Kocha huyowa zamani (48) wa Young Boys na Samsunpor amechukua nafasi ya Edy Reja ambaye aliiacha klabu hiyo nafasi ya 4 katika msimamo wa Ligi Kuu ya Italia (Skudetto). Raia huyo wa Bosnia alikuwa na Young Boys katika ya mwaka 2008-2011 kabla hajaenda Samsunpor ambapo mwezi Januari 2012 aliacha kutokana na matokeo mabaya. Lazio msimu uliopita wamejikusanyia pointi 62 katika mechi 38 hivyo kupata nafasi ya kucheza Europa League msimu ujao.

Vladimir Petkovic