Mpaka dakika 90 zinamalizika timu ya Ivory Coast imeondoka na ushindi wa 2-0 ambapo goli la kwanza lilifungwa na Solomon Kalou kwenye dakika ya 24 na la pili lilifungwa na Didier Drogba kwenye dakika ya 86.

Moja kati ya ambavyo havitosahaulika ni mchezaji wa Taifa Stars Aggrey Morris kupewa kadi nyekundu kwenye dakika ya 70. na hiyo ilikua ni baada ya kupewa kadi ya pili ya njano

Taifa stars

Ivory Coast

source:millardayo.com