Van Vaart

MWENYEKITI wa Klabu ya Schalke 04 Clemens Tonnies ameweka bayana kuitaka saini ya mholanzi Rafael van Der Vaart katika kipindi hiki cha majira.

Japokuwa Tonnies katika hilo amesema itakuwa “deal” gumu sana kuelewana na The Spurs, hasa ukizingatia dau la klabu kwa mchezaji huyolipojuu sana. Klabu hiyo majuma kadhaa ripoti zimesema inawataka wachezaji kama Eljero Elia, Salmon Kalou na Cacau.

“Van der Vaart is a very good player, but I have to admit this would be a complicated transfer,” Tonnies said in an interview to Sport 1.

The Netherlands international, 29, alicheza chini ya Uangalizi wa katika msimu wa 2007-2008 na klabu ya HAMBURG wakala wake Robert Geerlings amethibitisha kuwa Schalke inaitaka saini ya nyota huyo,na kutakiwa na klabu hiyo kunafuatia pengo lililoachwa na Raul Gonzalez.

Huub Stevens’ side umemaliza ukiwa nafasi ya tatu katika Bundesliga na kuipa nafasi ya kufuzu Klabu Bingwa barani humo katika hatua ya makundi hii ni mara baada ya misimu miwili kufika Nusu fainali ya Michuano hiyo barani ulaya