DKB na ZAINAB

Ugomvi uliopelekea washiriki wawili wa big brother kuleteana fujo umewafanya washiriki hao kutolewa kwenye jumba hilo.

Zainab (Sierra Leone) na Dkb (Ghana) walianza kuzozana toka mchana ambapo huo mzozo ulizua ugomvi, kitu ambacho hakiruhusiwi kabisa Big Brother… washiriki wake wanaruhusiwa kugombana lakini sio kupigana, kwa kosa hilo la kugombana mpaka kugusana imebidi watolewe moja kwa moja.

Kwenye kesi kama hii BBA wameripoti kwamba washiriki hao hawawezi kurudishwa tena kwenye nyumba na kuna uwezekano nafasi zao zikachukuliwa na washiriki wengine waliotolewa BBA, wanaweza kuitwa…. tusubirie

sources:Millardayo

 

Sometimes you have to fight to be a man

Zainabu akipewa onyo, naye akijidai mjanja.

Ndipo binti Zainab akaamua kujifanya kama mzungu pale ambapo alijidai “Nipige, nipige kama kweli wewe ni mwanaume” ,

Zainabu alipotwangwa kofi na akijaribu kujitetea: Source: bigbrotherafrica.dstv.com

ambapo akachapwa kibao na wasingekuwa wakina Prezzo na wengine nadhani kwa sasa binti huyu tusingekuwa naye. Wote tunafahamu jinsi gani watu wamagharibi walivyoshiba sasa huyu model angepewa kubwa na mwisho wake ingekuwa niagieni bure.

Kwa sasa washiriki hawa wametolewa kwenye mashindano. Full Video here: