“Usikubali kudanganyika na muonekano wa red carpet au ukiwa na Kanye west au kuonekena kwenye cover za magazine . …. Au ni kwasababu alihojiwa wakati akiwa MC wa party ya pool ndani ya Las Vegas.”walichoandika celebrity gossip

Kim Kardashian ameapa kuwa atakuwa msiri kwa vitu vyote vinavyohusu maisha yake kwa sasa.
“sasa najitahidi kwa kadri ya uwezo wangu kufanya maisha yangu yawe na usiri zaidi kidogo” alisema Kim Kardashian akiwaambia watu na gazeti la A NATIONAL MAGAZINE, weekend iliyopita. “ Maisha yangu yapo hadharani sana na ninalielewa hilo lakini kama utachagua kuwa na usiri wa maisha zaidi kidogo, Ninge chagua hilo sana ambayo mwanzoni sikuwa nayo” alisema Kim Kardashian
Wakati huo Kim hakumtaja Kanye West, wala fununu kuwa wanatoka wote, ila alaimwambia mchapishaji wa tovuti ya Hollywood gossip, yeye anafanya vizuri zaidi ya hapo awali,
Kim Alisema “life is Good” na “super relaxed “

sources:celebrity gossip