1.Lionel Messi

2012 anaingiza euro milioni 33 ambayo nisawa na paundi 27.5
2011 alikuwa analipwa euro milioni 31
Utajiri aliona dolla milioni 110
Klabu aliyopo Barcelona Fc
Mchezaji huyo anayeingiza euro 33 kutoka kwa ma sponsor wake ambao ni pepsi and addidas.

2.David Beckham

2012 anaingiza euro milioni 31.5 ambayo ni sawa na paundi milioni 26.2
2011 alikuwa analipwa euro mililioni 19
Mali aanyomili nikuanzia dola milioni 160 or 260 kutoka kwenye Sunday Times Uk Rich list.
Klabu aliyopo Los Angels Galaxy
Becks mwenye umri wa miaka 36, amekusanya euro milion 31.5 na kusima imara kwa umarufu aliona ukiacha kuwa anachezea marekani. Hela hizo zinatokea kwa addidas, Obyo ma mwaka 2011 alisign deal na Samsung kama balozi wao wabrand ya kimchezo ulimwenguni

3.Cristiano Ronaldo

2012 anaingiza euro milioni 29.2 Milioni (paundi 24.3m)
2011 alikuwa anaingiza euro milioni 27.5
Anautajiri wakiasi cha dola milioni 160
Club aliyopo sasa Real Madrid
Ni nyota wa timu ya Real Madrid ambaye amekuwa hapo kwa misimu mitatu sasa na aliweza kufunga magoli mengi kwenye ligi ya La Liga kwa kufunga magoli 32 katika mechi 26 kwa msimu uliopita. Anatumia mitandao ya kijamii akiwa na fans milioni 26 mara tatu ya wachezaji wengine kwenye mtandao huo na anafollower milion 3 ambayo ni moja ya kivutio kwa wadhamini kama vile Nike, Armani, coca-cola and Castrol.

4.Samuel Eto’o

2012 anaingiza euro milioni 23.3 sawa sawa na paundi milion 19.4
2011 alikuwa anaingiza euro milioni 13
Utajiri wake ni dola milioni 50 (kwa makadirio)
Klabu ya sasa: FC Anzhi Makhachkala
Baada ya miezi 12 mkemeruni huyo aliongeza kutia sahihi ya wadhamini ambao ni Puma na Ford. Timu zote alizo cheza akiwa nazo alipata mafanikio makubwa. Ni mchezaji wakiafrika mwenye sifa nyingi na mwenyejina kubwa saba Africa, ashachukua ya tuzo African Player wa mwaka mara 4 mfulilizo kwanzia mwaka 2003, 2004, 2005 na 2010.
Ni mchezaji wa zamani ambaye alikuwa kiungo wa inter Milan ambaye baadae alijiunga na klabu ya urusi kwa miaka mitatu kwa mshahara wa euro milioni 20.5 or 28.8 kwa hali halisi ya uchumi utakavyo enda. Mkataba huo umemfanya Samuel Eto’o kuingia kwenye histori ya mwanasoka anayelibwa hela nyingi kuliko yeyote dunia kwa mshahara wa klabu. Anzhi alifikia mkataba wa kumnunua kwa dola milioni 38 from inter Milan.
Anzhi ambayo inamilikiwa na tajiri wa kirusi Sulema Kerimov, ambaya ni tajiri wa 118 duniani mwenye utajiri wa dola bilioni 7.8

5.Wayne Rooney

2012 anaingiza euro milioni 20.6 ambayo ni sawa na paundi milioni 17.2
2012 alikuwa anaingiza euro milioni 20.7
Anatutajiri wa thamani ya paundi milioni 45 au dola milioni 72
Rooney alipoteza mkataba wake na coca cola , lakini amaerudi tena, mchezaji huyu wa man u ambaye ni kiungo ndio anayeongoza kwa kulipwa elanyingi kwenye ligi ya uingereza kwa euro milioni 20.6 ambayo nisawa na paundi milioni 17.2. amechukua milioni na kwenye Old Trafford kwa miaka mitano mingine . hata hivyo kuwa na misukosuko na coca cola mwaka jana, amebakia kuwa kusimama na kutumika katika matangozo ya biashara uingereza,. Huku akiendlewa kulipwa na wadhamini ambao ni Nike na Electronic Arts.

6.sErgio Aguero

2012 anaingiza: euro milioni 18.8 sawa sawa na paundi miloni 15.7
Anamiliki utajiri wa paundi 37 sawa na dola milioni 59 kutoka kwa Sunday times UK Rich
Timu anayochezea kwa sasa: Manchester City
Ambaye ni mchezaji wa Argentina ambaye pia nikiungo wa Man City. Aliweza kutingisha club za ulaya baada ya kuchezea klabu ya Atletico Madrid mwaka 2006. Mwaka 2011 mchezaji huo alihamia kwenye timu ya Man City. Kwa mkataba wa miaka 5 lenye thamani ya euro milioni 35 ambayo nisawa na paundi milioni 42.35, kwa kumfanya mwanasoka ghali kuliko wote ndani ya klabu hiyo na kuweka historia hiyo ndani ya Man City

7.Yaya Toure

2012 aningiza euro milioni 17.6 ambayo ni sawa paundi milini 14.7
2011 alikuwa anaingiza euro milioni 13.8
Anautajiri wa paundi milioni 19 au dola milioni 19 kutoka Sunday Times Uk Rich list
klabu anayoichezea kwasasa ni Man City
Kiungo wakati wa Man city na mchezaji wa Cote d Ivoire . Ambaye anacheza na mdogo wake kwenye club moja Man City. TOURE alipata tuzo ya mchezaji bora wa Africa mwaka 2011. Alitokea Barcelona kwenda Man City mwaka 2010 kwa paundi milioni 24 na kusaini mkataba wa miaka mitano kwa thamani ya paundi milioni 55.6.

8.Fernando Torres

2012 anaingiza euro milioni 16.7
2011 alikuwa anaingiza euro milioni 14
Anautajiri wa thamani ya paundi milion 21 au dola milioni 33.5 kutoka Sunday times uk
Ni mchezaji kutoke spania ambaye ni mchezaji wa timu ya spania ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Chalsea. Ambaye alitokea Atletico Madrid kwenda Liverpool na sasa anachezea Chelsea, Anafahamika kwa kuwa kiungo hatari na hodari mno ulimwenguni. January maka 2011 Torres alihamia Chelsea kwa kuvunja rekodi ya mchezaji wa kispanishi aliye nunu liwa kwa hela nyingi kwa paundi milioni 50 kwa kusaini mkataba wa miaka mitano na nusu

9.Ricardo Kaka

2012 anaingiza euro milioni 15.5 ambayo nisawa na paundi milion 12.9
2011 alikuwa anaingiza euro 19.3
Anautajiri wa dola milioni 100
Klabu anayochezea Real Madrid
Mchezaji mwenye asili ya brazili ambaye ni kiungo wa kati anayechezea timu yake ya brazil kwa sasa anachezea kwenye ligi kuu ya uhispania akiwa anachezea timu ya real Madrid . kaka picha yake ilitumika kutengenezea cover ya EA Sports FIFA Soccer 11. Ambayo FIFA iliweza kuza vipande milioni vya gane hilo la FIFA kutoka kwa kampuni ya Electronic Arts. Kaka Andhaminiwa na Adidas, Giorgio Armani na Guarana

10. Philipp Lahm

2012 anaingiza euro milioni 16.7 milioni ambayo ni sawa na paundi milioni 11.9
2011 alikuwa anaingiza euro milioni 14
Anachezea Bayern Munich
Ni mchezaji anayecheazea timu yake ya taifa ya ujerumani ambaye vile vile ni captains wa klabu ya Bayern Munich.