Botafogo, Klabu ya nchini Brazil inamtaka Clarence Seerdorf imefahamika.
Seerdorf (37) kiungo wa AC Milan aliyejiunga na Rossoneri mwaka 2002 akitokea kwa mahasimu wao Inter Milan. Imebainika kuwa Mwakilishi wa Mchezaji huyo siku ya Jana ameonekana akiwasili nchini Rio De Janeiro kwa mazungumzo na Rais wa Botafogo Mauricio Assampcao