Miley Cyrus na Liam Hemsworth wakiwa pamoja


miley cyrus


Baada ya miaka mitatu ya mahusiano, Miley, mwenye umri wa miaka 19, na Liam mwenye miaka , 22, wamethibitisha kwa habari kwa watu kuwa machumbiana. “Nina furaha kwa kuchumbiwa ninachoangalia mbele ni kuwa na maisha ya furaha na Liam,” Miley alisema.
Wawili hao walikutana pale walipo kuwa wote ni mastaa wa movie ya Last Song 2009. Wali tangaza uchumba mnamo tarehe 31 may 5 na pete ya Almasi yenye 3.5 carat kutoka sonara Lane Neil.

glamour