Mwana FA hivi sana ameshamaliza bonge moja la wimbo pale Zahabu Rec kwa mtu mzima Dully Sykes wimbo uliopewa jina la AMEEN. Nikichat nae kwa njia ya BBM nilipata bahati ya kuusikiliza wimbo huo duuuuh noma tukae mkao wa kula pamoja na video ya wimbo huo kama ilivyo desturi yake.
Photo By MxCarter

Wimbo huo wa Ameen, MwanaFA amemshirikisha Dully Sykes na AY, kwenye chorus wamesikika Dully akiimba Ameen Ameen halafu AY anamalizia Mungu Niongezee halafu anamalizia na kusema Nishike mkono niongezee halafu Mwana FA akamalizia verse zote mbili ambapo wimbo una Dakika 4:19
HADI RAHA
Photo By MxCarter

source:DJchoka