Staa wa Kenya kwenye jumba la big brother CMB PREZZO wakati akiongea na Big Brother amekiri kwamba ameshaachana na mke wake japo siku kadhaa zilizopita alipogombana na mwakilishi wa South Africa Barbs, Prezzo aliamplfy kwamba ana mke na mtoto na ni familia anayoipenda. Kwenye sentensi nyingine Prezzo pia amekiri kwamba anahisia za kimapenzi kwa mshiriki Goldie wa Nigeria japokua wameshatengana na amekua akimpotezea Goldie toka walipogombana na uhusiano wao wa kimapenzi kuvunjika ndani ya bba. Maneta ambae ni mshiriki mwenzao amesema hakuna mapenzi ya ukweli kati ya Goldie na Prezzo, wana fake tu na kwamba Prezzo amekua akimtumia tu Goldie lakini sio kwamba kafall in love.

source:bongoflavortz