RIO FERDINAND


Mlinzi wa QPR Anton Ferdinand amekataa kuzungumzia uamuzi wa Timu ya Taifa kumwacha Rio Ferdinand katika Michuano ya Euro 2012 itakayoanza kutimua vumbi hapo kesho katika ufunguzi ambapo Kundi A litaanza.

Sol Campell alikuwa mchezaji wa kwanza wa nchini Uingereza kuzungumzuia Sakata la Rio Fernand kwamba kumwacha nyota huyo muhimu waliangalia suala la rangi kwani ilikuwa ikihitajika kati ya John na Rio Ferdinand

Sol ameongeza kusema kuachwa kwake hakukuzingatia sababu za kimpira kama ambavyo Kocha Roy Hodgson aliwaahidi mashabiki wa timu hiyo.

Mshauri wa Rio Fernand Jamie Moralee amesema kitendo cha kumwita mchezaji Martin Kelly mbadala wa Gary Cahill nacho hakikuwa cha heshima hali ilimfanya Kelly kujisikia vibaya.

“Things happen in football,” he said. “It’s a game of ups and downs. I am sure he’d like to be there but sadly it didn’t happen this time. But we move on and, like he said, he’s going to follow them from somewhere else and, as a family and as a community, we’re going to do that.”
Kambi ya Timu ya England ipo Krakow nchini Poland na kwamba mapema leo asubuhi na jioni hii ni kwamba habari ya Rio Ferdinand inazungumzia na kila mmoja katika kambi.

“We’re here to talk about the tournament, about the 23 players who are here and I’m not prepared to discuss – at all – any players who are not here, It might be an issue – but it’s an issue I’m happy to talk about when the tournament is over maybe. We are here to talk about the tournament and about the future and that’s it. FA chairman David Bernstein last night.

source: