patrice evra

Patrice Evra anaamini kuondolewa kwa mchezaji mwenzake mlinzi wa Man Utd Rio Fernand kutawapa urahisi wao kupita kirahisi katika hatua za makundi.

Evra ni mchezaji wa kwanza kuzungumzia maamuzi ya Kocha Roy Hodgson ya kumpiga chini Rio na baadaye Gary Cahill na ameonyeshwa kushangazwa na hatua hiyo.

“I am really surprised Rio isn’t playing,” Evra told The Sun. “He’s a big, strong player and I just don’t know what is happening. Maybe Rio has every reason to feel disappointed. Whatever though, it’s great for us. I will text him in the next few days to see how he is feeling.”
Jumatatu ijayo England itafungua dimba na Ufaransa.

source:jaizmelaleo