Niajali iliyotokea asubuhi ya leo katika daraja la Sarender bridge Dar es Salaam. Ajali hiyo ilitokea baada ya mwendesha bajaji kutaka kupita katikati ya magari mawili kwa spidi kali,. Bahati mbaya hakufaniwa mwishowe akakutwa kambanwa katikati ya magari hayo