Linex jana jioni hadi usiku wa kuamkia leo alikuwa pande za Kunduchi Beach Hotel akishuti video yake mpya na kampuni ya video inayojulikana kwa jina la Visual lab chini ya Dir Adam Juma. Wimbo ambao ulikuwa ukishutiwa unajulikana kwa jina la AIFORA ambao umetengenezwa katika studio zilizopo Kibaha chini ya Producer Fundi Samweli


Saraha na mumewe Producer Fundi Samwel


Photo by Dj Choka

source:djchoka