Washiriki wa Miss Utalii Kanda ya Ziwa.

Washiriki wa Miss Utalii Kanda ya Ziwa.


Shindano la kumsaka Miss Utalii Kanda ya Ziwa 2012, litafanyika 30 Juni 2012, kwenye ukumbi wa Monarch Hotel Mwanza. Shindano hilo linaloandaliwa na Fania Hassani ambaye ni mkurugenzi wa Miss Tourism Tanzania Organisation – Kanda ya Ziwa kwa kushirikiana na Fania Beauty Entertainment litashirikisha ambapo warembo 15 kutoka mikoa ya Mwanza,Kagera na Geita na Kigoma. Wadhamini wakuu wa shindano hilo ni kampuni ya Gold Master, huku wadhamini wengine wakiwa ni hoteli ya kitalii ya Monarch Hotel ya mjini Mwanza, magazeti ya Jamboleo,Kiu na misstourism.blogspot.com.