Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jana amewaapisha mabalozi wapya kumi ambao wataongoza idara na kurugenzi mbalimbali katika Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Pichani Rais akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wapya aliowaapisha ikulu jijini Dar es Salaam jana asubuhi.Kutoka kushoto walisimama mstari wa mbele ni Balozi Bertha Semu Somi,Balozi Hassan Simba Yahya, Balozi Vincent Joel Thomas Kibwana,Balozi Naimi Sweetie Hamza Aziz,Balozi Irene Mkwawa Kasyanju na Balozi Dora Mmari Msechu.Waliosimama nyuma kutoka kushoto ni Balozi Silima Kombo Haji,Balozi Celestine Joseph Mushy, Balozi Mbelwa Brighton Kairuki na Balozi Ramadhan Muombwa Haji

Balozi Bertha Semu Somi

Balozi Celestine Joseph Mushy

Balozi Dora Mmari Msechu

Balozi Hassan Simba Yahya

Balozi Irene Mkwawa Kasyanju

Balozi Mbelwa Brighton Kairuki

Balozi Naimi Sweetie Hamza Aziz


Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi


Balozi Silima Kombo Haji


Balozi Vincent Joel Thomas Kibwana

SOURCE:FATHERKIDEVU