Marehemu Faraja Haule, enzi za uhai wake


Wakiwa kwenye rally Nairobi kabla ya ajari


Gari baada ya Ajari


huyu ni mtanzania Victor akiwa hospitali, Faraja Haule na Denis Ngaleison walifariki kwenye ajali aliyepona ni Simon Makoye na Victor Jungle hiyo gari ni Mark X na walikuwa wanatokea kwenye mashindano ya magari Nairobi, ajali imetokea Kajado


Marehemu Faraja na Dennis. R.I.P

source:tutokemedia.