Jada ambaye hivi karibuni atasherekea miaka 15 ya ndoa yake na Will Smith alisema kuwa Miley mwenye umri wa miaka 19 na mchumba wake Liam Hemsworth mwenye umri wa miaka 22, ni lazima kwanza wawe na msingi mzuri wa urafiki wao kwanzaa.

“Jifunze jinsi gani ya kuwa marafiki, hasa unapoanza huo ujana” aliiambia blog ya sowetanlive
“Forever is a long time. When you are starting forever at 19 years old, and it is not to say that there is anything wrong with that, but it is just to know that what it is now and what it will be, it is just going to continue to transform and change.” Alisema Jada
Muigizaji huyo mwenye umri wa miaka 40 sasa alianza mahusiano na staa wa Men in Black 3’ Will akiwa na umri wa miaka 23, wa wili hao wamefanikiwa kupata watoto wa wili ambao ni Willow na Jaden
Aliongezea kwakusema “You have to keep flexibility [in your relationship]. You have to be with someone you consider as a friend.”
Miley alionyesha pete yake ya uchumba kwa waiter wa restaurant iliyopo Los Angeles jumatano ya tarehe (06.06.2012).
Muimbaji wa “Cant Be Tamed” amekubali propasa ya uchumba mwezi uliopita ma wamnatarajia kufanya sherehe yao Hugo,s ndani studio city

source:sowetanlive