Gianni Versace

Casa-Casuarina-Versace-Miami-Mansion


casa-casuarina-courtyard

versace-mansion

Jumba hilo ambalo lipo kwenye South Beach ambao designer Gianni Versace mwenye asili ya kiitaliano alipokuwa anaishi na ndipo alipo pigiwa risasi na kufia hapo , ipo sokoni kwa dola milioni $125 sasa.
Coldwell banker wa benki ya makazi Real Estate alitangaza orodha ya Casa Casuarina.
Nyumba hiyo ilijengwa mwaka 1930, ina rum 10, ina mabafu 11, kutoka getini mpaka kwenye nyumba kuna umbali wa mita 16 (futi 54). Na swimming pool refu la mosaic. Swimming pool hiyo imezunguzhiwa madini ya gold yenye uzito wa (24karat),sanamu na vitu vingi venye thamani kubwa. Nalipo katika sehemu za uwazi.

Versace aliuliwa mbele ya nyumba 1116 ocean Dr. Mwaka 1997. Alinunua nyumba hiyo mwaka 1992 na alitumia kiasi cha dola milioni$33 kwa kuipanua zaidi. Watalii bado wanazunguka na kupiga picha mbele ya nyumba hiyo.
Coldwell Banker alisema mambo yote aliyo buni Verscace wameyahifadhi.