Washiriki wa shindano la Redds Miss World Tanzania 2012 wakiwa kwenye kambi yao iliyopo kwenye Hotel ya Kitalii ya Giraffe jijini Dar Es Salaam tayari kwa shindano lao la jumamosi hii kumpata mwakilishi wa Taifa.

Toka kulia ni Gloryblaca Mayowa (Lindi) Hamisa Hassan (Kinondoni) Queen Saleh (Ilala) Christine Willium (Iringa) Pendo Laizer (Arusha) Lisa Jensen (Mara) Mwajabu Juma (Temeke) Neema Saleh (Ilala) Jeneffer Kalolaki (Ilala) Stella Mbuge (Kinondoni)


Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye (kulia) na Miss Tanzania 2011, Salha Israel wakiwakaribisha warembo hao kambini hii leo

source:fatherkidevu