Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa akisoma bajeti ya Serikali ya 2012/13, Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012.


Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa akionyesha mkoba wenye Bajeti ya Serikali ya 2012/13 Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012.


Waziri wa Fedha Dk William Mgimwa akionyesha mkoba wenye bajeti huku akiwa ameongozana na Naibu Waziri Janet Mbene


Wapiga picha wakigombea picha ya Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa wakati aliponyanyua mkoba wa Bajeti ya Serikali ya 2012/13, Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012.


Waziri wa Fedha,Dkt.William Mgimwa akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia Bungeni kusoma Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2012/13, Mjini Dodoma Juni 14, 2012.


Mabalozi wa Nchi mbalimbali waliohudhuria Bungeni kusikiliza Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2012/13 iliyosomwa na Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa, Bungeni Mjini Dodoma Juni 14,2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

source;hakingowi