Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark Production Ritha Paulsen akitolewa damu na Mkuu wa Kitengo cha Damu Salama kituo cha Dodoma Dk. Leah Kitundya muda mfupi kabla ya kuanza kwa zoezi la kusaka vipaji vya wasanii chipukizi mkoa wa Dodoma, aliyeko pembeni yake ni Hawa Iche mkuu wa Mawasiliano wa Zantel.