Jana ilikuwa ni siku ya furaha kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ ambapo alisherekea siku yake ya kuzaliwa katika kiwanja chake cha Nyumbani Loudge, hafla iliyohudhuriwa  na watu kibao wakiwemo wasanii wa filamu na muziki.