Wachezaji wa timu ya taifa ya Sweden wamesema kutolewa kwao mapema katika mashindano ya kombe la mataifa ya Ulaya yanayoendelea nchiniPolandna Ukrain ni bahati mbaya na bado wanaamini timuyaoilikuwa bora katika mchezo wao jana usiku dhidi yaEnglandktk kudi D.

Sweden ilifungwa bao 3-2 na England na hivyo hawata weza tena kufuzu hatua ya robo fainali baada ya kufungwa naUkrainekatika mechiyaoya ufunguzi.

Ufaransa imefanikiwa kujiweka katika nafasi nzuri baada ya kuwafunga wenyeji wao Ukraine kwa goli 2-0.