Katibu mkuu wizara ya fedha, Ramadhani Kijah kushoto na Mwakilishi wa benki ya dunia Pilppe Dongier wakisaini mkataba wa Mpango wa TASAF 3 unaolenga kuwasaidia watu wanaoishi maisha ya matumizi ya chini ya dola moja kwa siku hasa nchini Tanzania ili kuwapunguzia ukali wa maisha. http://www.habarimpasuko.blogspot.com