Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongoza kikao cha Mamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mikoa (TAMISEMI) Mjini Dodoma Juni 16,2012.