Majaji wa Shindano la Epiq Bongo Star Search Kushoto ni Master Jay, Chief Judge Madam Ritha Paulsen na Salama Jabir wakiwa kwenye zoezi la kusaka vipaji vya wasanii chipukizi mkoa wa Dodoma.

 

Baadhi ya washiriki waliojitokeza kwenye zoezi la kusaka vipaji mkoani Dodoma.

source:dewjiblog