Video ilifanyika Maisha Club jumamosi june 16, Adam wa Visual Lab ndio amehusika kuishoot, Pamoja we can ni single ya Dj Choka aliyowapa shavu wakali kadhaa kama Mabeste na wengine.
(Picha zote zimepigwa na djchoka.blogspot.com)