No. 1 aliko dangote

No. 1 aliko dangote
Thamani ya utajiri anaoumiliki ni dola bilioni $11.2 , vyanzo vya utajiri huo nikutokea uzalishajia wa sukari, unga, cement na nitajiri aliyetajirika kwa nguvu zake mwenyewe. Ana umri wa miaka 54, raia wakinigeria, ameoa na ana watoto wa tatu
Aiko Dangote ni tajiri wa Africa na Nigeria kwa mwaka 2012 kutoka kwa kwenye gazeti la forbes.

No.2 Nicky Oppenheime &family

Anamiliki utajiri wenye thamani ya dola za kimarekani billion $6.8 kwa march mwaka 2012
Vyanzo vya utajiri wake ni kwenye popmbe inayoitwa De Beers, na urithi, nitajiri namba moja south Africa. Anaumri wa miaka 66, mkazi wa Johannesburg, ameowa na ana motto moja.
Na vilevile anashare kwenye kampuni ya madini Anglo-American Plc. Anamiliki Tswalu Kalahari Reserve, ambayo ni reserve kubwa south Africa

No.3 Nassef Sawiris

Anamiliki utajiri wenye thamani ya dola za kimarekani bilioni $5.1, ni tajiri wa kwanza misri na anaumri wa miaka 51. Anaishi cairo. Vyanzo vyautajiri wake ni construction company, urithi, na kukua kibiashara, Nassesf Sawiris ni mtoto wa mwisho wa Onsi’s. na nitajiri wa dunia number 199. Ambaye alichukua uongozi wa kampuni yao ya ORASCOM CONSTRUCTION mwaka 2007. Ni shareholders texas industries na French company.

No.4 Johann Rupert &family

Anamiliki utajiri wa dola za kimarekani bilioni $5.1 , vyanzo nkwenye kuuza luxury goods, amerithi, na kutanuka kibiashara, anamiaka 61, ameowa na anawatoto3 anaishi Stellenbosch, South Africa.

No.5 Mike Adenuga

Anamiliki utajiri wa dola za kimerakani bilioni $4.3, vyanzo vya utajiri wake ni Telcom, banking, mafuta, na nitajiri aliyejitajirisha mwenyewe, ni mnageria, anaishi lagos, anaumri wa miaka 58, ameowa.

No.6 Naguib Sawiris

Anamiliki utajiri wenye thamani ya dola za kimarekani bilioni $3.1. vyanzo vya utajiri ni kampuni ya simu MTN, amerithi, na amekuwa kibiashara, anawatoto 4 na amaeowa, ni mtoto wa kwanza wa ONSI, anaishi cairo, Misri

No.7 Christoffel Wiese

Anamiliki utajiri wa dola za kimarekani bilioni $2.7. vyanzo ni consumer retail, hajarithi , amejitajirisha mwenyewe, ana miaka 70, raia wa south Africa, na ndio CEO wa shoprite Africa, ana share kwenye Pepkor, anamiliki Lourensford, anazalisha wine, na anamili game reserve

No.8 Onsi Sawiris

Anamiliki utajiri wa dola za kimarekani bilioni 2.9 , vyanzo ni kampuni yake ya ujezi na Orascom, hotels, ni raia wa Misri, anaishi kairo, anawatoto wa tatu.

No.9 Miloud Chaabi

Anamiliki utajiri wa dola za kimarekani bilioni 2.9 ni tajiri wa kwanza morocco chanzo cha utajiri wake ni Real estate

No.10 Patrice Motsepe.

Anamiliki utajiri wenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 2.7, vyanzo vya utajiri wake ni mchimbaji wa madini, na amjitajirisha mwenye bila kurithi, raia wa South Africa. Na anaishi johannesburg