No1. Sean “diddy”Combs

Anamiliki utajiri wa dola za kimarekani Milioni $550 hii ni kutoka kwa forbes magazine april mwaka huu
Mwaka jana alikuwa anaingiza dola milioni $35 na mwaka juzi alikuwa anaingiza milioni $30
Diddy katika biashara zake na pamoja na kazi yake ya muziki kama rapa, amejiimarisha mwenyewe nakuweza kuwa rapa mwenye hela nyingi kuliko yoyote duniani, ambaye anamiliki nguo za sean joan, bad boy record label na ciroc vodka. Na nia muigizaji pia. Aliambia forbes kuwa “Im gonna be bigger than David Geffen” lakini bado hajafikia hapo.


No.2 Shawn “ Jay-Z” Carter

Anautajiri wa dola Milioni $460 kutoka forbes april 2012
Kutoka kwa forbes mwaka jana alikuwa na ingiza dola milioni $37 na 2010 alikuwa anaingiza dola milioni $63
Rapper huyo ambaye ni mume wa Beyonce , ambaye aliuza nguo za label ya Rocawear kwa dola milioni 204 mwaka 2007, na alitia sahihi ya miaka 10 ndani ya live nation kwa dili la dola milioni 150 mwaka 2008. Sasa ameweza kusukuma shares zake zakibiasha kama vile New Jersey Nets , kwenye fashion, musziki na biashara ya restaurant

No.3 Andre “Dr. Dre” Young

Anamiliki utajiri wa dola zakimarekani milioni $260, kutoka forbes mwaka 2011 alikuwa anaingiza dola milioni $14 na 2010 alikuwa anaingiza dola milioni $17
Huyu ni best producer na rapper.Dre hakuweza kutoa album mpya kwa miaka 10., lakini rapa na producer ameweza kupata mafanikio makubwa kwenye biashara yake. Aliweza kuinua kipaji cha snoop Dogg, Eminem, 50Cent. Ameweza kupanua na kukuza utajiri wake kwa kutumia record yake ya After Math, na headphones zake za Beats by Dre na HP laptop line. Mnamo tarehe 11 august 2011, Dr Dre alirepotiwa kuwa aliuza 50% ya beats by dre headphones, kutoka kwenye headphone company kwenda kwa Taiwani watengezaji wa HTC kwa paundi miliono 191 ambazo ni sawa na dola milioni ($310)

No.4 Bryan “Birdman” Williams

Anayemiliki utajiri wa dola milioni $125 kutoka forbes april mwaka huu
Kutoke mei 2010 mpaka mei 2011 aliingiza dola milioni $15
Bryan “ Birdman” Williams, ambaye alianzisha Cash Money Records akiwa na Bother Ronald na na kusaini dili la dola milioni 30 la usambazaji na kampuni ya Universal mwaka 1998,. Ndani ya label hiyo yupo lil wayne na Nicki Minaj. Kwa mistari yao ya “richer than the richest” kiukweli ni uongo. Septemba mwaka 2011 Bird alikuwa nautajiri wa Thamani ya dola milioni $110.

No.5 Curtis “50cent” Jackson

Anamiliki utajiri wenye thamani ya dola milioni 110 kutoka forbes mwezi wan ne 2012, mwaka 2009 alikuwa anaingiza dola milioni $8 na mwaka 2010 alikuwa anaingiza dola 2010;
50cent ameweza kuingia top 5 kwa sababu ya biashara yake ya sawy, kama rapa anayeingiza figure 9 za malipo ya maji ya kunywa kipindi yalipouzwa kwa coca cola, alizitumia kwenye kununulia magari, kufanya ukarabati kwenye nyumba aliyokuwa namiliki Mike Tyson. Hela nyingine zinaingia bado kwenye catalog, uigizaji , 50cent themed videogames, vitabu, nguo na headphones.