Mchezaji wa timu ya Twiga Stars Mawanahamisi Omary akiondoka na mpira kuelekea goli la timu ya wanawake ya Ethiopia huku mabeki wa timu hiyo wakiwania mpira huo katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za kombe la mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwaka ujao, mchezo huo umefanyika kwenye uwanja wa Taifa wa Dar es salaam