Kanye West akiwa amebeba girlfriend Kim Kardashian for a ride naLamborghini jijini Paris, France juzi June 17th, 2012


kama kawaida yake Kim hawezi kosa furusa ya kuacha kutabasamu mbele ya kamera, hata kama yupo kwenye date


Kanye West na Kim Kardashian wakiwa pamoja ndani ya Lambarghini,. imeripotiwa kuwa Kim amemnunulia boyfriend wake gari aina ya Lamborghini Aventador LP 700-4 kwa kutimiza miaka 35 kwa dola $750,000.