Mchezaji Wyne Rooney ameifungia England goli pekee kwenye mechi ya Ukraine na kufanya wachukue nafasi ya kuongoza Kundi D na kuingia kwenye robo fainali 2012 watakapokutana na Italia.Goli hilo pekee la Rooney limepatikana kwenye dakika ya 48.
Kwenye sentensi nyingine Sweden imeshinda 2 -0 kwenye mechi na France.