Kutoka kwa Kris, kuwa haikuwa ndoa tu aliyoitumia mke wake wa Zamani Kim Kardashian kwa nia ya kujitangaza
Nyota NBA imeripotiwa kuwa ameamua kufunguka na kutoa baadhi ya siri zinazohusu familia ya Kardashian, kwa mpezi wake wa zamani Myla Sinanaj , ikiwa ni pamoja na ukweli kuwa anaamini Kris Jenner(ambaye ni mama yake Kim) alimfania Kim Sex Tapes ambayo haikuwa maarufu na hata hivyo akataka irudiwa kutengenezwa tena na baadhi ya matukio ya aibu.
Wakati Kris pia anadai kuwa uhusiano wake na Myla ulikuwa wa muda mfupi, TMZ waliripoti hiyo kwa mfanyakazi wa NYC hoteli ambaye ana tani ya milindiko ya meseji kutokea New Jersey Net ikisema Myla ni mpenzi wa maisha yake, na alikuwa anataka maswala ya talaka kutoka kwa Kim kuisha haraka iwezekanavyo na kuanza kuondoka katika maisha ya ustaa wa reality show.
Wakati habari hii inaweza kuharibu kesi ya Kris ya udanyifu, naikiwa chini ya Mwanasheria Maarufu wa maswala ya Talaka Raol Felder alieleza blog ya Wetpaint Entertaiment kuwa Jaji anayesikiliza kesi ya Kris na Kim kuwa kupelekwa mbele sio kwasababu ya Kris
Kwa madai kuwa Kim Sex Tape ilifanywa na mama yake mwenyewe? Kuhusu hili sasa ni tatizo tulilonalo. Na haya ni maneno ya Kim akimwambia Oprah “Why would anyone put that humiliation to their family out there? Imagine that conversation I had to have with my grandmother.” Wakati akiwa anahojiwa kwenye kipindi cha Oprah